Hatima ya maisha ya Waafrika katika Bunilizi za Kiswahili: Mwegamo wa kifalsafa

dc.contributor.authorDuwe, Martina
dc.date.accessioned2024-10-15T06:25:14Z
dc.date.available2024-10-15T06:25:14Z
dc.date.issued2021
dc.descriptionPaper submitted to the Ruaha Journal of Arts and Social Sciences (RUJASS)
dc.description.abstractMakala hii imefafanua sababu za hatima ya maisha ya mwanadamu kulingana na fikra za Waafrika kwa kurejelea riwaya za Utengano (1980) na Tata za Asumini (1990). Data za msingi zilizofafanuliwa katika makala hii zimepatikana maktabani kwa kutumia mbinu ya usomaji makini. Nadharia ya Udhanaishi imetumika kama mwegamo muhimu katika uchambuzi na mjadala wa data zilizowasilishwa katika katika utafiti uliofanyika. Matokeo yanaonesha kuwa utajiri wa maarifa yaliyomo ndani riwaya teule husawiri maudhui na fikra halisi za Waafrika kulingana na tamaduni zao. Fikra hizo hudhihirisha falsafa inayotawala maisha yao. Pia, hubainisha sababu mbalimbali za hatima ya mwanadamu kulingana na mitazamo ya Waafrika. Kifo ni miongoni mwa sababu zilizobainika wazi katika riwaya teule kuwa kinasababishwa na maamuzi ya Mungu, maovu ya mwanadamu mwenyewe na watu wanaomzunguka katika mazingira yake halisi; na namna Waafrika wanavyofikiri juu ya sababu za hatima ya maisha yao. Mwandishi anayaonesha haya ili kudhihirisha uhalisi wa fikra za jamii yake kama sampuli ya jamii za Kiafrika. Makala hii inahitimisha kuwa fasihi andishi inahifadhi na kuonesha maarifa yanayoisawiri jamii husika.
dc.description.sponsorshipNil
dc.identifier.citationAPA
dc.identifier.urihttps://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1449
dc.publisherRuaha Journal of Arts and Social Sciences (RUJASS)
dc.subjectFalsafa
dc.subjectFasihi
dc.subjectHatima
dc.subjectKifo na Mitazamo ya Waafrika
dc.subjectBunilizi za Kiswahili
dc.subjectMwegamo wa Kifalsafa
dc.subjectHatima ya Maisha kwaWaafrika
dc.titleHatima ya maisha ya Waafrika katika Bunilizi za Kiswahili: Mwegamo wa kifalsafa
dc.typeArticle
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
Duwe, M.- (FSS).-(2021).pdf
Size:
505.46 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed to upon submission
Description:
Collections