Hakimu, Johari
(2021-06-11)
Pamoja na kwamba lugha ya Kiswahili ina maneno mengi yaliyokopwa katika lugha
ya Kiarabu, haijawa wazi ni kwa namna gani maneno hayo (hasa vitenzi) ya
Kiswahili yenye asili ya Kiarabu yamepata sifa za Kibantu. Kwa hiyo, ...